Wanafunzi wa chuo cha afya Hermargs (HIASO) wakiwa katika zoezi la kutoa elimu juu ya usugu wa vimelea vya magonjwa thidi dawa. Zoezi hili hufanyika Duniani kote likiwa na lengo la kuelimisha jamii kuhusu matumizi sahihi ya dawa na kufuata maelekezo ya walaalamu wa afya.