Apply Now

Login Form

Visitors Counter

219959
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
166
270
1348
216621
6406
6264
219959

Your IP: 44.201.97.0
2024-04-24 10:31

Timu ya wafanyakazi wa Chuo cha Afya Hermargs imefanikiwa kutoka na ushidi wa mabao 3 kwa 0 Dhidi ya timu ya mwaka wa kwanza 2023. 

Mchezo huo umefanyika tarehe 19/10/2023 ukiwa na lengo la kuwakaribisha wanafunzi hao wa mwaka wa kwanza .Ni utaratibu wa Chuo kufanya hivyo ili kuwaweka karibu wafanya kazi pamoja na wanafunzi hiyo inasaidia kujenga undugu ambao utaongeza ufaulu kwa wanafunzi sababu kutakuwa hakuna uwoga kati ya mfanyakazi na mwanafunzi

Whatsapp Apply

Tuma form iliyojazwa kwa whatsapp baada ya kuiscan pamoja na viambatanisho kwenye No: +255743494346 au 787047650